Karibu Pamoja Kenya

‘Pamoja’ kwamba ni maana ya neon “TOGETHER” katika lugha ya kimombo. Pamoja ni neno la Kiswahili, lugha inayozungumzwa inchini Kenya. Na ‘pamoja’ ni jinsi ambavyo tunataka kufanya kazi na shirika letu. Tunaamini kwamba kila maendeleo inapatikana kwa kushirikiana na jamii. Kufanya kazi pamoja inaongoza kwa ufumbuzi uendelevu ambao unaunganishwa na watu wenyeji ambao tunatambua ufumbuzi kwa pamoja.

Ni dhamira yetu kuanzilisha, kuongoza na kutekeleza miradi katika nchi ya Kenya kwa kushirikiana na jamii. Tunazingatia miradi ya maji na miradi ya usafi na kupeana pia ajira kwa wakati mmoja.

Pamoja Kenya inategemea msaada wa fedha kutoka kwa wadhamini. Sisi tunapata fedha kwa njia ya michango, matukio na harambee. Katika pamoja Kenya unaweza kuwa na uhakika kwamba mcha ngo wako ni kweli utatumika katika miradi za kufaidi jamii.